Umoja International Outreach.
Our New Location: Crown Plaza Hotel at the junction of 635 and Coit Rd.
Karibu ujumuike pamoja na waTanzania wenzako kumwabudu Mungu. Umoja
International Outreach ni kanisa la kwanza la Kitanzania kwa Watanzania waishio
Dallas. Lilianzishwa na kusajiliwa rasmi Februari 2004, na hadi sasa kuna active
member 30. Ibada zote zinafanyikia Plano Texas, kila siku ya jumamosi usiku
kuanzia saa mbili hadi saa nne usiku.Watu wa dini zote mnakaribishwa, kanisa
hili ni Non Denomination, hivyo usiwe na wasiwasi kuhusiana na dhehebu lako au
dini yako. Watu wengi wamefunguliwa, wameponyeshwa magonjwa, na kufanikiwa
kiroho na kimwili katika maisha yao. Unangoja nini? Karibu, ukue kiroho, Piga
simu 972-423-2108/214-558-4779/fax 972-423-2108.
Unahitaji Maombi? Unahitaji Councelling? Yesu yu Hai.
Abby Nasuwa,
Mwenyekiti,
Umoja International Outreach
Plano, TX
Their e-mail address is:
munguatosha@aol.com